Kimaiwa (Indonesia)

Kimaiwa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamaiwa kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kimaiwa imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaiwa iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search